Hakikisha Umesubscribe Chaneli yetu ya #AyomaMedia kwa habari za uhakika Na pia tufuatilie Katika Mitandao ya Kijamii kama Instagram & Facebook na Twitter kama @Ayoma_tv
#Yangasc #Usajilimpya #TetesizausajilimpyaYangasc Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Nyota mpya wa Yanga SC, Albert Kangwanda, amemaliza msimu wa 2025/26 kwa kutwaa tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi Kuu ya Zambia (MVP) baada ya kuonyesha kiwango bora katika msimu mzima. Takwimu zake za msimu kwenye michuano yote: Mechi: 32 Magoli: 17 Asisti: 9 Mchezaji Bora wa Ligi (MVP) Timu alizowahi kuchezea: Red Arrows FC Kafue Celtic FC Zanaco FC Kafue Celtic FC HNK Gorica NK Hrvatski Dragovoljac Red Arrows FC Al-Hilal Omdurman Red Arrows FC Spartanii Sportul Red Arrows FC Wananchi, mnaipa alama ngapi usajili wa Albert Kangwanda? Huyu ni Winga fundi sana na anapiga free kick vibaya mno 2. Peter shalulile mshambuliaji wa Namibia na Mamelod Sundown Yanga wamekamilisha usajili wa mshambuliaji wa zamani wa Mamelodi Sundows ,Peter Shalulile (32). Baada ya mazungumzo ya muda mrefu Shalulile amesinya miaka miwili Yanga✅ Yanga wamempa $700,000 (1.8 bilion) kama Sign-on fee. Kipindi ambacho watu wote akili zao zipo kwa Stephane Aziz Ki, viongozi wa Yanga SC wao wakasema hapana-huko tulishapita na mambo yamebadilika! Wakati mnasubiri kuona nani anafuata baada ya Allan Okello (top player kusajiliwa na kuonesha), mabingwa wa nchi wakaona washushe chombo cha viwango vya juu kabisa vya CAF. Hapa hatuongelei mchezaji wa kawaida, naongelea funga kazi Bingwa wa Afrika akiwa na Mamelodi Sundowns, mashine hatari ya kucheka na nyavu, PETER SHALULILE anatua Jangwani🟢🟡 rasmi on a free transfer . Takwimu za Peter Shalulile Mabao ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini (PSL / SAPD): Mabao 112 (mabao 44 akiwa na Highlands Park na mabao 68 akiwa na Mamelodi Sundowns). Mabao ya CAF Champions League: Mabao 15 (yote akiwa na Mamelodi Sundowns, ambapo pia alikuwa mfungaji bora wa mashindano hayo mwaka 2023). Mabao kwenye Mashindano Yote (Klabu): Mabao 153 katika michezo 353 (mabao 49 Highlands Park na mabao 104 Mamelodi Sundowns). 3. Housseine Zakouani Winga kutoka Ufaransa lkn anawakilisha timu ya Taifa ya Comoro ni Winga fundi haswaaa 4. Cheikh Ibrahima Touré ni mshambuliaji mwenye asili ya Senegal na Ufaransa, anayejulikana kwa uwezo wake mkubwa wa kufunga mabao na kuongoza safu ya ushambuliaji. Kabla ya kujiunga na Yanga SC, Touré alikuwa akicheza nchini Saudi Arabia, ambako alikuwa na msimu bora uliomfanya kuwa miongoni mwa washambuliaji waliofanya vizuri. Takwimu zake msimu uliopita: Mechi: 34 Mabao: 20 Asisti: 5 Touré anajiunga na Yanga akiwa na rekodi nzuri na matarajio makubwa ya kuongeza nguvu katika safu ya ushambuliaji ya mabingwa hao wa Tanzania. 5. Eric Mwijage Winga kutoka KMC amewahi kupita pia Kagera Sugar amesaini mkataba wa Miaka 2 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate 8. Hussein Juma Mihambo straika kutoka Mashujaa amewahi kupita jomo 9.Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi Winga kutoka Mashujaa 10. Fred ngoma kiungo kutoka Olympic de Club safi Morocco 11. Marco maarufu kama mpemba D Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7.Farid Mussa free agent amejiunga na Coastal Union ya Tanga 8. Celestine Ecua 9. Israel Mwenda amerejea Singida BS 10.Lassine kouma 11. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda TRA United 12. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Walioongezewa mkataba mpya 1. Yao kouassi 2. Kibwana shomari 3.Salum Abubakari Sure boy 4. Bakari Mwamnyeto 5. Shadrack Boka 6. Denis Nkane Hii ndiyo orodha ya wachezaji 12 wa kigeni wa Yanga SC kuelekea msimu wa 2026/27, huku klabu hiyo ikiendelea kusuka kikosi cha kupambana kwenye mashindano mbalimbali. 🇨🇮 1. Diarra Djigui 🇨🇮 2. Kouassi Yao 🇨🇮 3. Boka Shadrack 🇨🇲 4. Max Nzengeli 🇰🇪 5. Duke Abuya 🇺🇬 6. Allan Okello 🇳🇦 7. Peter Shalulile 🇫🇷 8. Ibrahima Touré 🇿🇲 9. Albert Kangwanda 🇨🇬 10. Fred Ngoma 🇰🇲 11. Housseine Zakouani 🇦🇴 12. Laurindo Depu 13. Pacome Zouzoua Pacome Zouzoua naye yupo nje kutokana na majeraha na taarifa zinaeleza kuwa hatakuwa sehemu ya msimu ujao
#Yangasc #Yangaleo #alikamwe #usajilimpyayanga #Enghersi Wachezaji wa Yanga Waliosajiliwa Leo 1. Justice Figuareido kutoka Chipa United South Africa raia wa Eswatin ,TAKWIMU ZA JUSTICE FIGUAREIDO | MSIMU WA 2025/26 🇸🇿 Nyota wa kimataifa wa Eswatini, Justice Figuareido, ambaye hucheza kama winga na pia mshambuliaji wa kati 🇿🇦 BETWAY PREMIERSHIP (Chippa United) ⚽ Mechi: 26 🥅 Magoli: 2 🎯 Asisti: 5 ⏱️ Dakika alizocheza: 1,858 🌍 FIFA World Cup Qualifiers (Eswatini) 🇸🇿 Mechi: 9 ⚽ Magoli: 3 2. Thulani Gumede winga huyu kutoka Richardbay ya Afrika kus Rasmi niko hapa kuthibitisha Young Africans SC 🇹🇿 ipo hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa Winga Thulani Gumede mwenye umri wa miaka (25) raia wa Afrika Kusini 🇿🇦 kutoka Richards Bay FC kwaajili ya kuitumikia klabu hiyo kwa msimu ujao 2026-27. Thulani Gumede ni pendekezo la kocha mpya wa Klabu hiyo Manqoba Mngqithi, Hii ni mara baada ya kumkosa Winga Keletso Makgalwa aliyetimkia Simba SC kwa ushawishi mkubwa zaidi wa kocha Steve Barker, Gumede ana uwezo wa Kucheza Winga ya Kulia na Kushoto kwa ustadi mkubwa, Akiwa na Richards Bay amefunga Mabao (5) na Assists (5) katika Mechi (64). 3.Nasri Kombo Kutoka TRA United 4.Abdulnasir Asa Gamal Mlinzi/Winga Mashujaa 5.Azizi Ki 6. Mohamed Mussa mlinzi wa kati kutoka Mashujaa 7.Samba Kone Kutoka Muna FC ya Ivory Coast Mlinzi wa Kushoto 8.Juma Abushir Aka Messi wa Chuga kutoka Fountain Gate . Emmanuel Flomo 🔹Klabu ya wananchi Yanga imefikia makubaliano binafsi (personal terms) na winga hatari wa kulia wa Liberia na klabu ya Al Hilal Omdurman ya Sudan,Emmanuel Flomo (18). -Yanga wanajaribu utaratibu wa kuvunja mkataba wa mchezaji huyo katika klabu yake ya Al Hilal ya Sudan. -Flomo amefunga mabao 12 Msimu uliopita na kuibuka mchezaji chipukizi katika ligi ya Rwanda. Wachezaji wanaotemwa Yanga 1. Prince Dube amejiunga na hard rock ya Zimbabwe kwao 2. Mohamed Damaro 3. Frank Assink 4. Bubah Jammeh 5. Mohamed Doumbia 6. Balla Conte 7. Abubakari Salum sure boy free agent 8. Farid Mussa free agent 9. Celestine Ecua 10. Israel Mwenda amerejea Singida BS 11. Shadrack Boka anaondoka mrithi wake nitakutajia Kone 12. Lassine kouma 13. Emmanuel Mwanengo Mkopo ameenda Singida 14. Bakari Mwamnyeto mchezaji huru mkataba imeisha amepunguziwa mshahara na anasubiriw asaini 15. Shekhan Khamis Mkopo Singida BS Wachezaji wa Kigeni waliosalama Yanga Sc 1.🇲🇱 Djigui Diarra 2.🇨🇮 Yao Kouassi 3.🇰🇪 Duke Abuya 4.🇨🇩 Maxi Nzengeli 5. 🇦🇴 Laurindo Depu 6.🇺🇬 Allan Okello 7.🇨🇮 Pacome Zouzoua Kwa undani Zaidi tumekuwekea video nzima hapa MABENA TV Subscribe upate mengi Zaidi
©TUNAKUPA HABARI ZA UHAKIKA KUTOKA VYANZO VYA KUAMINIKA --------------------------------------------------------------------------------- JIUNGE NA CHANNEL YETU YA TELEGRAM APA: REPORT TO US If you find any error in material provided please take a minute to tell us about it. We will resolve it at the earliest. COPYRIGHT VIOLATION For Copyright Issues: We try our best to verify the ownership of content with the contributor. If you think your material is wrongly used, or if its a violation of copyright, email us 1998nicholaus@gmail.com Welcome to REAL in the right place, by accessing Entertainment, Fashion and Sports news from within and outside the borders of Tanzania, our goal is to provide you with reliable and accurate information. Please click the SUBSCRIBE button to become a family member of this channel
Kiungo Mshambuliaji wa @yangasc Pacome Zouzoua Amepata Majeraha Mabaya ya Kuvunjika Mguu wake Wakati Mchezo wa Mwisho wa Ligi Kuu ya NBC dhidi ya JKT Tanzania Kwenye Uwanja wa Meja Jenerali Isamuyo. Baada ya Mchezaji huyo Nyota @pacom_zouzoua Kupata Majeraha Mabaya ya Mguu wake, Mashabiki wa Soka Afrika wamejitokeza Kumpa Pole Nyota huyu Huku Wengi wakimuombea Kupona Haraka na kurejea Uwanjani kuwatumikia Wananchi. Get Well Soon Pacome Zouzoua .
MZEE MAGOMA: BUS SIMBA SILAHA MPYA, UWANJA YANGA, AFICHUCHWA SIRI YA GSM, KAMWE CHAWA